Wananchi wengi wajitokeza kwenye sehemu za burudani

  • | Citizen TV
    2,388 views

    Mamia ya wakenya hii leo walijitokeza katika sehemu za burudani kwa shamrashamra za krismasi licha ya gharama ya juu ya maisha. Wafanyabiashara walilalamikia kupungua kwa mauzo mwaka huu huku wakiitaka serikali kulegeza kamba kwenye ushuru wanazotozwa.