7 Oct 2025 10:23 am | Citizen TV 235 views Duration: 2:02 Shirika la Huduma kwa wanyapori nchini KWS katika kaunti ya Kajiado imetakiwa kuendelea kukaza kamba na kuweka mikakati zaidi ya kusaidai kupunguza migogoro kati wanyapori na wakazi wanaoishi karibu na mbuga za wanyamapori.