Wanaoishi katika shamba la Kakuzi wataka ahadi itimizwe

  • | Citizen TV
    100 views

    Zaidi ya familia ishirini na tano zinataabika kwa sasa katika kijiji cha Gachagi, kilichoko katika shamba la Kakuzi eneo la Makuyu.