17 Dec 2025 10:35 am | Citizen TV 708 views Duration: 58s Msaidizi wa rais Farouk Kibet amewaonya watu wanaojaribu kuleta mgogoro katika chama cha UDA , kuwa watafurushwa wote kutoka chama hicho.