"Wanaoshambulia polisi watakabiliwa kisheria" Rais awahakikishia polisi ulinzi wa serikali

  • | KBC Video
    1,019 views

    Rais William Ruto amekashifu mashambulizi dhidi ya maafisa wa polisi wakati wa maandamano ya vijana wa Gen-Z, akisema mwenendo huo sharti ukome kuanzia sasa. Rais aliyezungumza wakati wa mkutano wa maafisa wakuu wa usalama na maafisa wa utawala wa kitaifa katika Ikulu ya Nairobi, alisema mwenendo huo unatishia udhabiti wa taifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive