- 134 viewsDuration: 3:52Wanaougua saratani waandaa vikao vya kuelimisha wagonjwa, wakiiomba serikali kupunguza gharama ya matibabu Gharama ya matibabu ya ugonjwa wa Kansa inazidi kulemea familia za waathiriwa kote nchini. Mahangaiko hususan kwa familia zilizo mashInani ni ya kusikitisha. Wengi wa waathiriwa wakitoa wito kwa serikali kupunguza gharama ya tiba kwa wagonjwa wa Kansa