- 71 viewsDuration: 2:09Wadau kwenye vita dhidi ya dhuluma za kijinsia wanatoa wito kwa serikali, mashirika yasiyo ya serikali na umma kwa jumla kushirikiana kukomesha unyanyasaji wa wasichana na wanawake. Tume ya kitaifa ya jinsia na usawa imeeleza kufadhaishwa na kile inachotaja kuwa mabadiliko ya mbinu zinazotumiwa kuendeleza ukeketaji ikiwemo ujumuishaji wa wahudumu wa afya wanaotekeleza uhalifu huo kwa siri. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News