Wanariadha Ferdinand Omanyala na Mary Moraa watashiriki katika KipKeino Classic tarehe 31 Mei, 2025

  • | TV 47
    16 views

    Mbio za KipKeino Classic kuandaliwa tarehe 31 Mei, 2025.

    Mashindano haya yataandaliwa katika Uwanja wa Ulinzi Complex.

    Wanariadha wa humu nchini Ferdinand Omanyala na Mary Moraa watashiriki.

    Serikali imetenga Ksh 300m kwa minajli ya mbio hizi.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __