16 Sep 2025 2:21 pm | Citizen TV 113 views Duration: 1:11 Wanariadha zaidi ya 150 kutoka kaunti kumi wenye mahitaji maalum wanashiriki mchujo wa siku mbili wa kitaifa uwanjani ulinzi complex ulioanza asubuhi ya leo.