Skip to main content
Skip to main content

Wanasiasa Makueni wakemea wahuni wa kisiasa, wampigia debe Ruto

  • | Citizen TV
    663 views
    Duration: 1:36
    Viongozi wanaoegemea mrengo wa serikali kaunti ya Makueni wameendeleza mikutano ya kumtafutia umaarufu rais Wiliam Ruto kwenye kaunti hiyo wakitumia mikutano hiyo kulaani siasa za uhuuni zinazoendelea kushuhudiwa nchini.