Skip to main content
Skip to main content

Wanasiasa wa kundi la linda mwananchi wafanya mikutano Nairobi, mamia wajitokeza

  • | Citizen TV
    2,922 views
    Duration: 3:06
    Wanasiasa wamefanya mikutano katika maeneo mbalimbali ya Nairobi, huku mkutano mkuu ukiandaliwa katika Uwanja wa Jacaranda. Sifuna na Orengo wamesema mgombea mmoja atateuliwa, huku mamia ya wakazi wakijitokeza kushiriki shughuli hizo.