Wanasiasa wakosoa viongozi wakuu wa Magharibi

  • | Citizen TV
    383 views

    Wabunge Caleb Amisi wa Saboti na Jack Wamboka kutoka Bumula wanasema vinara wawili wa kisiasa katika jamii ya magharibi Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula na mkuu wa mawaziri musalia mudavadi wamefeli kuwajibikia matakwa ya watu wa jamii hiyo kwa muda mrefu licha ya wao kuwa serikalini