Skip to main content
Skip to main content

Wanasiasa washauriwa kuwawezesha vijana

  • | Citizen TV
    168 views
    Duration: 1:43
    Wanasiasa wametakiwa kukoma kuwatumia vijana kuzua vurugu kwenye mikutano ya kisiasa kwa manufaa yao ya kibanafsi na badala yake waweke mikakati ya kuhakikisha vijana wanapata nafasi za ajira au mambo yanayoweza kuwaepusha na utumizi wa mihadarati. Wakizungumza wakati wa fainali ya kombe la masters Cup ambalo kwa miaka 14 limekuwa likiwaleta vijana pamoja katika eneo la Kathonzweni kaunti ya Makueni, viongozi wa eneo hilo wamewataka vijana kujisajili kuwa wapiga kura ili kutumia kura zao kuchagua viongozi waadilifu na wanaoweza kuangazia maswala ya vijana.