Skip to main content
Skip to main content

Wanasiasa Watakiwa Kuepuka Kauli za Uchochezi

  • | Citizen TV
    34 views
    Wanasiasa wametakiwa kuepuka kutumia maneno ya uchochezi na badala yake kuhimiza amani. Viongozi wa dini pia wametoa wito kwa nchi za Afrika Mashariki kuheshimu na kufuata katiba zao.