Wanasiasa watakiwa kutohujumu vita dhidi ya uraibu

  • | KBC Video
    37 views

    Waziri wa usalama wa kitaifa Kithure Kindiki ametoa wito kwa wanasiasa kote nchini kujiepusha kuingiza siasa katika juhudi zinazoendelea za serikali zinazolenga kutokomeza biashara ya pombe haramu na dawa za kulevya nchini akisema hilo ni suala la sheria na wala sio kisiasa. Kindiki ambaye leo alizuru eneo la Pwani anasema serikali inajitahidi kuongeza uwezo wa walinzi wa Pwani ya Kenya na Wanamaji wa Kenya ili washike doria ifaavyo katika maeneo ya maji humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive