Wanaspoti wa kambi za wakimbizi wafaidi ufadhili wa IOC kwa mazoezi na maandalizi

  • | NTV Video
    199 views

    Makumi ya wanaspoti kutoka Kambi mbali mbali za Wakimbizi humu nchini, wanatarajiwa kunufaika Na Mpango Maalum wa Kamati ya Olimpiki Duniani, IOC, utakaowawezesha kupata ufadhili wa kufanya mazoezi na mahitaji yao mengine, kama njia moja ya kuwasaidia kujiandaa kushiriki mashindano mbali mbali ikiwemo michezo ya Olimpiki ya Mwaka wa 2028 itakayoandaliwa Kule Los Angeles Marekani.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya