Skip to main content
Skip to main content

Wanaume wakatoliki washiriki mashindano ya nyimbo

  • | KBC Video
    392 views
    Duration: 2:53
    Kwenye onesho la kufana la imani na vipaji, zaidi ya wanachama elfu moja wa chama cha waumini wa kiume wa kanisa katoliki kutoka maeneo manne ya Kiambu walikusanyika kwa maonesho ya kufana ya nyimbo.Tamasha hizo kwa jina ‘Mahujaji wa Matumaini hazikuwa tu shindano la nyimbo pekee, zilikuwa pia sherehe za kiroho zilizohimizwa na maono ya marehemu baba mtakatifu Francis ya kueneza injili kupitia nyimbo.Mwanahabari wetu Joseph Wakhungu ana maelezo zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive