Wanawake 20 wa Soin-Sigowet Waanzisha Jiko la Lorena Kuhifadhi Mazingira na Kuzuia Magonjwa

  • | NTV Video
    208 views

    Kikundi cha wanawake 20 kutoka Soin-Sigowet wameanzisha mradi wa kuanzisha jiko jipya lijulikanalo kama Lorena, kwa lengo la kuhifadhi mazingira na kuzuia magonjwa yanayosababishwa na moshi wa kuni

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya