Tume ya jinisia yaonya kuhusu athari ya ukosefu wa pesa

  • | Citizen TV
    438 views

    Tume ya kushughulikia masuala ya kijinsia nchini imeitahadharisha serikali dhidi ya kuifanyia mzaha sekta ya elimu kufuatia tangazo kuwa serikali kwa sasa haina uwezo wa kufadhili sekta hiyo kikamilifu.