- 7,987 viewsDuration: 1:33Wanawake matajiri zaidi barani Afrika wanajenga himaya zao kupitia sekta mbalimbali kama vile mafuta, mawasiliano, mali zisizohamishika na biashara. Wajasiriamali na wawekezaji hawa wa kipekee, si tu kwamba wamekusanya utajiri mkubwa, bali pia wamebadilisha sekta muhimu, wakichochea ubunifu na kuunda ajira. Na nani anaongoza orodha ya wanawake matajiri Afrika? Martha Saranga anaelezea Makala hii kwa urefu zaidi utaipata katika YouTube ya BBCSwahili #bbcswahili #wanawake #utjiri Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw