Wanawake kaunti ya Tana River wajitwika jukumu la kujenga vyoo vijijini ili kuzuia magonjwa

  • | Citizen TV
    96 views

    Kundi moja la wanawake katika Kaunti ya Tana River limejitwika jukumu la kujenga vyoo vijijini ili kuzuia magonjwa kama kipindupindu yanayoweza kuzuka msimu huu wa mvua.