- 237 viewsDuration: 2:25Viongozi wanawake kutoka eneo la Kabondo kasipul wameelezea kukerwa kwao na baadhi ya matamshi yanayotumiwa dhidi yao wakati wa mikutano ya kisiasa. Kina mama hao wanasema matamshi hayo yanalenga kuwadhalilisha na kuwakejeli, wakiomba hatua za haraka zichukuliwe.