Wanawake Samburu wawezeshwa kufanya biashara

  • | Citizen TV
    98 views

    Makundi ya akina mama waliofaidi na ufadhili wa Hazina ya NGAAF na uwezo Fund kaunti ya Samburu yameirai serikali kuongeza mgao huo ili makundi mengi ya wanawake kutoka jamii ya wafugaji yafaidike.