3 Feb 2026 7:56 pm | Citizen TV 181 views Duration: 1:11 Timu ya taifa ya kandanda ya wanawake ya wachezaji wa chini ya miaka 20 imeimarisha maandalizi ya mechi ya kufuzu kombe la dunia dhidi ya tanzania itakayochezwa katika uwanja wa ulinzi jumamosi alasiri.