Wanawake wa biashara ndogo wapewa mashine za kushona

  • | Citizen TV
    97 views

    Wanawake wa mapato ya chini katika biashara ndogo ndogo kwenye maeneo kame ya Mandera, Malindi na Marsabit wamepata afueni baada ya kugawiwa mashine 130 za kushona