Wanawake wa Samburu waaka usawa wa kijinsia uangaziwe kwenya mazungumzo baina ya serika na upinzani

  • | Citizen TV
    445 views

    Wanachama wa chama Cha Upia katika kaunti ya Samburu,wametoa wito kwa kamati ya pamoja ya mazungumzo baina ya serikali na upinzani kulipa kipaumbele swala tata la usawa wa jinsia katika uongozi. Kamati hiyo ya pamoja inayoongozwa na kinara wa wiper Kalonzo Musyoka pamoja na kiongozi wa wengi bungeni Kimani Ichungwa inatarajiwa kurejelea vikao vyake jumatatu juma lijalo.