Wanawake wahamasishwa kuchukua nafasi za uongozi Kisii

  • | Citizen TV
    68 views

    Kina Mama kutoka eneo la Gusii wameshauriwa kujitokeza kuchukua nafasi za uongozi licha ya changamoto zinazowakumba hususan katika ulingo wa siasa kama njia mojawapo ya kuinuana na kujiendeleza katika jamii