Wanawake walazimika kutembea kilomita 7 kutafuta maji safi Senegal

  • | BBC Swahili
    250 views
    Mwanaharakati anayejitolea kwenye jamii Mamadou Diakhate, anachangisha fedha ili kubadilisha hilo.Tayari amejenga visima 30 na ana ndoto za kufikia lengo lake la kujenga visima 100 ifikapo mwisho wa mwaka. #bbcswahili #senegal #visima