Wanawake walea wadudu wa kuumaliza mmea wa mpungate Laikipia

  • | Citizen TV
    249 views

    Kwenye jitihada za kumaliza mmea wa mpungate, akina mama kutoka jamii ya maasai huko Laikipia kaskazini wameanza mbinu za kisayansi za kuangamiza mmea huu ambao umekuwa kero sana eneo hilo.