Wanawake wamepokea mafunzo kuhusu ujasiriamali

  • | KBC Video
    8 views

    Ipo dhana kwamba wanawake kutoka eneo la Ukambani ni shupavu katika ufumaji vikapu. kwa kundi moja la wanawake katika eneo la Katangi katika kaunti ndogo ya Yatta kaunti ya Machakos, maisha yao yameimarika pakubwa kutokana na umahiri wao wa sanaa ya ufumaji. Kundi hilo limepata mafunzo kuhusu ujasiriamali yaliyofadhiliwa na shirika moja lisilo la kiserikali katika eneo hilo. Ripota wetu Christine Matunda ana taslifu kamili kuhusu jinsi biashara hii imewanda na kunawiri hadi masoko ya kimataifa

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive