- 98 viewsDuration: 1:45Wanawake kutoka kaunti ya Homabay Bado wanaeleza masikitiko yao kufuatia dhulma wanazopitia hasa wanaoishi sehemu ya mashinani. Wakiungana na wanawake ulimwenguni kusherekea siku ya wanawake ulimwenguni, akina mama hawa walitembelea hospitali ya rufaa ya Homabay kuzawadi wenzao waliojifungua. walitoa wito wa maridhiano na kutupilia mbali mienendo ya kitamaduni iliyopitwa na wakati.