Wanawake zaidi kuajiriwa katika huduma ya magereza

  • | KBC Video
    41 views

    Wanawake zaidi wataajiriwa katika huduma ya magereza nchini katika juhudi mpya za kutimiza kanuni ya kikatiba ya thuluthi moja ya uakilishi wa kijinsia. Katibu wa huduma za urekebishaji tabia Dr. Salome Beacco alikariri haja muhimu kwa idara hiyo kuwa na uakilishi zaidi wa wanawake katika vituo vya urekebishaji tabia. Aliyasema hayo wakati wa ziara ya ukaguzi wa shughuli inayoendelea ya usajili huko Juja, ambako aliwahimiza wasichana zaidi wajitokeze na kujisajili katika idara hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive