Wandani wa Rais Ruto wakashifu mkutano wa Limuru III

  • | Citizen TV
    1,741 views

    Wandani wa Rais William Ruto wa mrengo wa UDA wamekashifu vikali mkutano wa Limuru three uliofanyika hapo jana na kuutaja kuwa wa kikabila unaolenga kutenganisha nchi. Wakizungumza huko Kakamega kwenye hafla ya kuchangisha fedha kwa ujenzi wa shule ya msingi ya Tombo , viongozi hao wamesema kuwa mkutano huo ulilenga kuvuruga uongozi wa Rais William Ruto.