6 Mar 2026 10:19 am | Citizen TV 10,071 views Duration: 1:37 Mto Mogor umefurika na kuvunja kingo zake katika daraja linalounganisha maeneo ya Emurua Dikirr na Mogondo Olchoboksei katika eneo bunge la Emurua Dikir.