wapangaji wa nyumba za kaunti BuruBuru wafurushwa

  • | Citizen TV
    3,886 views

    Wapangaji wa eneo la Buruburu Flats wameghadhabishwa na hutua ya serikali ya kaunti ya nairobi kuwafurusha kwa nguvu kutoka nyumba za kaunti.