Wapangaji wataka serikali iwauzie nyumba kwa bei nafuu kaunti ya Mombasa

  • | Citizen TV
    399 views

    Baadhi ya wapangaji waliofurushwa kutoka mradi wa ujenzi wa nyumba za Buxton kaunti ya Mombasa wametaka wapewe nyumba 184 zilizotengewa serikali ya kaunti wakisema wameshindwa kulipa kiwango walichotakiwa kumlipa mwekezaji.