- 2,588 viewsDuration: 3:19Jiji la nairobi hii leo lilishamiri shamrashamra za maadhimisho ya siku ya wapendanao huku maua mekundu na zawadi za aina aina zikionekana kila mahali. Wauzaji wa maua katika soko la City Market wanasema biashara imechangamka kutokana na marufuku ya benki kuu dhidi ya shada za pesa, mtindo ambao wanasema ulikuwa unapunguza mauzo yao kwa kiasi fulani.