Waporaji na wezi wamevamia wakazi mitaa mbalimbali Nairobi baada ya maandamano

  • | Citizen TV
    29,158 views

    Kufuatia maandamano ya hapo jana, wezi waliwavamia wakazi na kuwapora na pia kuvamia nyumba katika mitaa mbalimbali ikiwemo Kayole, Jamhuri, Donholm na Pipeline hapa jijini Nairobi. Wezi hao pia wanaarifiwa kuwahangaisha wakazi asubihi ya leo.