Wapuliza kipenga wa FIFA waridhishwa na mafunzo ya FKF Dandora Nairobi

  • | NTV Video
    35 views

    Wapuliza Kipenga wa FIFA Josephine Wanjiku na Badir Yasin wameridhishwa na mafunzo ambayo walipokea katika uwanja wa Dandora hapa jijini Nairobi. Mafunzo hayo yaliyofanikishwa na shirikisho la kandanda humu nchini FKF yaliwanufaisha marefarii wanaoibuka na Wazoefu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya