Skip to main content
Skip to main content

Waraibu waondolewa Frere Town, wahamishiwa Shimo la Tewa

  • | Citizen TV
    9,847 views
    Duration: 3:26
    Utata umeibuka kaunti ya Mombasa kuhusiana na uhamisho wa waraibu wa mihadarati kutoka eneo la Frere Town hadi Shimo La Tewa katika kaunti hiyo. Huku serikali ya kaunti ikisema kuwa hatua imefuatia malalamishi ya wakazi wa eneo hilo, waraibu hawa wamejitenga na tuhuma kuwa wamekuwa wakishiriki uhalifu. Na kama Francis Mtalaki anavyoarifu, Zaidi ya waraibu elfu moja wanaoendelea kutibiwa wanalengwa kwenye uhamisho huu