Waridi wa BBC: 'Tulipishana miaka 40 na mume wangu lakini nilimpenda'
#waridiwabbc #wanawake #ndoa
Imekua ni jambo la kawaida Mwanmke kuolewa na Mwanaume aliyemzidi Umri.Lakini ni kama hili halikubaliki kwa jamii nyingi katika maeneo mengi Duniani
Tafiti zinaonesha kwamba Asilimia 65 ya wanawake walioolewa kuanzia miaka 50 wameolewa na wanaume ambao wamezidi umri na ni asilimia 15 pekee wenye wenza ambao wanawazidi umri walau kwa Mwaka Mmoja
Doreen Kimbi kutoka Tanzania mwaka 2022 alifunga ndoa na Mume wake Agustino Lwatonga Mrema aliyekua Mwanasiasa Mkongwe Nchini Tanzania
Ndoa hii ilizua Gumzo hasa mitandaoni kwani Kiongozi huyo alikua amemzidi miaka 40,Hili liliwezekanaje kwake? Nini hasa kilichomvutia kwa Mzee huyo aliyekua mume wake? Amezungumza na Mwandishi wa BBC Scolar Kisanga Katika Waridi wa BBC
-
-
#bbcswahili #waridiwabbc #wanawake #ndoa
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
7 Aug 2025
- The late MP was a trailblazer on many fronts.
7 Aug 2025
- The operation was a joint effort between police and KWS.
7 Aug 2025
- The arrests were made during an operation on Wednesday night.
7 Aug 2025
- Two families in Mlolongo, Machakos County, are in anguish months after their kin disappeared under mysterious circumstances.
7 Aug 2025
- Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
7 Aug 2025
- A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
7 Aug 2025
- The late MP was a trailblazer on many fronts.
7 Aug 2025
- The operation was a joint effort between police and KWS.
7 Aug 2025
- The arrests were made during an operation on Wednesday night.
7 Aug 2025
- CBK is expected to respond to the bankers' request next week on Tuesday.
7 Aug 2025
- They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
7 Aug 2025
- The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
7 Aug 2025
- By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project