Wasaidizi wa Gavana wa Trans-Nzoia George Natembeya

  • | Citizen TV
    6,537 views

    Wasaidizi wa Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya wamekamatwa kwa madai ya kuhusika na uharibifu wa mali na kuchoma magari ya tume ya kupambana na EACC. Imedaiwa waliokamatwa walikodisha makundi ya vijana kuvamia magari ya EACC na kuyachoma wakati maafisa wa tume hiyo walipofika nyumbani kwa natembeya huko Trans Nzoia kuendesha msako wa kesi ya ufisadi dhidi yake.