Washikadau sekta ya biashara wataka mfumo ya kuwawezesha wafanyikazi kupata malipo ya mapema

  • | NTV Video
    54 views

    Washikadau katika sekta ya biashara nchini wamewataka wajiri nchini kubuni mfumo mwafaka wa kiteknolojia kuwawezesha wafanyikazi kupata malipo ya mapema yani salary advance kukidhi mahitaji yao kimsingi kwa wakati.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya