10 Feb 2026 1:52 pm | Citizen TV 168 views Duration: 1:39 Washikadau wa soka katika kaunti ya mombasa wamepongeza hatua ya serikali kuu kuingilia kati na hatimaye kuufufua ujenzi wa uwanja wa mombasa municipal stadium, ambao umekwama kwa zaidi ya miaka kumi na tano.