Washikadau wanaitaka serikali kuweka mikakati

  • | Citizen TV
    137 views

    Washikadau wa sekta ya elimu wanaitaka Serikali kuongeza juhudi za kuhakikisha kuwa miundombinu imewekwa na walimu wa sekondari msingi wameajiriwa ili wanafunzi watakaojiunga na gredi ya tisa januari mwaka ujao wasitatizike.