Washikadau wasema ukeketaji unaendelea kupungua nchini kutokana na juhudi za kuhamasisha umma

  • | Citizen TV
    92 views

    Wakeretekwa wa kutetea haki za mtoto wa kike wanasema ukeketaji umeendelea kupungua nchini kutokana na juhudi za kuhamasisha umma kuhusu uhalifu huo.