Washikadau watoa hamasa kuhusu ugonjwa wa saratani

  • | Citizen TV
    171 views

    Gharama ya juu ya matibabu ya ugonjwa wa saratani na ukosefu wa raslimali za kukabiliana na ugonjwa huo zimetajwa kuwa sababu kuu za kuendelea kuongezeka kwa ugonjwa huo. Haya yameibuka kwenye siku ya mwisho ya maadhimisho ya mwezi huu ya saratani ya matiti kaunti ya Makueni.