Washindi 7 kwenye Shabiki Supa Jackpot wametuzwa

  • | Citizen TV
    311 views

    Washindi saba kwenye bonasi Shabiki Supa Jackpot juma hili wametuzwa, kila mmoja akitia mfukoni shilingi 121,575, wakibashiri mechi 12/15 sahihi. Matokeo kombo ya mechi tatu yakiwanyima ushindi mnono wa kitita cha shilingi milioni 5.4.