Washindi saba kwenye shabiki supa jackpot watuzwa shilingi 121,575

  • | Citizen TV
    44 views

    Washindi saba kwenye bonasi shabiki supa jackpot juma hili wametuzwa, kila mmoja akitia mfukoni shilingi 121,575, wakibashiri mechi 12/15 sahihi. Matokeo kombo ya mechi tatu yakiwanyima ushindi mnono wa kitita cha shilingi milioni 5.