Washindi wa tamasha za muziki wakongamana katika Ikulu ndogo ya Nakuru kumtumbuiza Rais Ruto

  • | Citizen TV
    199 views

    Washindi wa tamasha za kitaifa za muziki wamekongamana katika ikulu ndogo ya rais ya Nakuru ili kumtumbuiza Rais William Ruto apamoja na viongozi wengine wa kitaifa. Wanafunzi wa shule tofauti kote nchini waliobobea katika tamasha za muziki zilizokamilika mjini nakuru wanapata fursa adimu ya kutangamana na kumtumbuiza rais. Hebu tusikize yanayojiri sasa katika ikulu ya Nakuru.